ASSALAM ALAYKUM
Karibu Family supermarket!
Tunafuraha kukuona hapa, ni mahali sahihi kwa bidhaa bora bei nafuu kwa huduma ya haraka kwa kila mteja. Tunajivunia kuwa sehemu ya familia yako yote kila siku, kuanzia vyakula safi, vyinwaji, vifaaa vya majumbani hadi bidhaa za watoto.
Tunaamini katika ubora, uaminifu na huduma ya kipekee kwa wateja wetu. Tembelea blog yetu kila wiki kwa ofa mpya, bidhaa maalum na vidokezo vya matumizi ya bidhaa mbali mbali.
Katika supermarket yetu utapata;
1. Bidhaa Bora na Safi:
Tunajivunia kutoa bidhaa bora za vyakula, vinywaji, vifaaa vya nyumbani, bidhaa za watoto na nyengine nyingi. Kila bidhaa inachaguliwa kwa umakini ili kuhakikisha ubora na usalama kwa familia yako.
2. Ofa na Punguzo:
Usikose kuangali blog yetu kila wiki kwa matangazo ya ofa maalum, punguzo la bei matangazo yanazyokuwesha kuokoa zaidi unapofanya manunuzi.
3. Huduma ya Uwasilishaji:
Tunakuletea bidhaa zako ulizo agiza moja kwa moja hadi mlangoni. Fanya manunuzi ukiwa nyumbani na ufurahie huduma ya haraka na salama.
Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu, Njoo ujionee utofauti.
Comments
Post a Comment