MANUKATO.

Karibu katika FAMILY MARKET tunakuletea manukato yenye harufu nzuri, ili uwezu kunukia siku nzima. Tumechagua kwa makini manukato na bidhaa za harufu kutoka jwa chapa maarufu na zile za kienyeji zenye ubora wa hali ya juu.

Tunakuletea manukato ya aina mbali mbali:

1. Manukato ya wanawake.

2. Manukato ya wanaume.

3. Body sprays na deodorants.

4.Marashi yakienyeji na asili.

  




Tunauza manukato halisi na salama kwa ngozi yako. Manukato bora kwa bie rafiki na ofa za mar kwa mara. Kutoka harufu kali za kuvutia hadi laini za kiasili, chaguo ni lako. Manukato yote unayoyapenda yapo dukani na pia yanawezwa kuagizwa mtandaoni

Comments