VINYWAJI SAFI NA BARIDI
Karibu katika FAMILY MARKET ujipatue vinywaji baridi na vyenye kusisimua zaidi, kukata kiu, vyenye afya na kustarehesha ka kila hafla. Tunajali afy yako na furaha ya familia yako, hivyo tunakuletea vinywaji vyenye ubora wa juu na bei nafuu kabisa.
Tunakuletea vinywaji vya aina mbali mbali:
1. Juisi za matunda safi.
2. Maziwa.
3. Maji ya chupa.
4. Vinywaji vya malt na bia.
Vinywaji vyote vimehifadhiwa kwa viwango vya usala na ubora. Kutoka kwa maji na juisi hadi soda na vinywaji vya baridi, vyote vipo mahali pamoja. Angalia matangazo yetu ya vinywaji na ufurahie punguzo la bei. Pata vinywaji kwa wingi dukani au ukiagiza mtandaoni kwa huduma za uwasishaji. KARIBUNI SANA.
Comments
Post a Comment